IamMrLiverpool
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 4,362
- 6,274
Liverpool alifungwa 0-1italyLiverpool alifungwa na Napoli Italia 2 - 1, lakini Liverpool kashinda England 1 - 0, ina maana head to head ni 2 - 2, ila Liver amepata goli la ugenini kule Italy na napoli hawakupata goli England, ndio maana liver kapita na kumuachia manyoya napoli, Hali wamefanana kila kitu.
Magoli ya kufunga TE="msondomba, post: 29578139, member: 309540"]kwa iyo kavuka kwa sheria ya herufi au L inatangulia alaf inafuata N ? sijaelewa maana goal difference wako sawa