DuaZaMama JF-Expert Member Joined Jun 2, 2025 Posts 1,882 Reaction score 4,153 Jul 3, 2025 #1 Baada ya mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota kupata ajali leo asubuhi na kufariki dunia, klabu hiyo imeistahafisha jezi namba 20 iliyokuwa inavaliwa na nyota huyo raia wa Ureno. Soma,Pia: Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota, afariki dunia katika ajali ya gari Jota alipata ajali hiyo leo alipkuwa nchini Hispania na amefariki akiwa na mdogo wake walipokuwa pamoja ndani ya gari dogo. Mwandishi nguli wa Habari za Michezo kutoka nchini Italia Fabrizio Romano amethibitisha taarifa hizo kwa kuandika katika ukurasa wake wa Instagram.
Baada ya mshambuliaji wa Liverpool, Diogo Jota kupata ajali leo asubuhi na kufariki dunia, klabu hiyo imeistahafisha jezi namba 20 iliyokuwa inavaliwa na nyota huyo raia wa Ureno. Soma,Pia: Mshambuliaji wa Liverpool Diogo Jota, afariki dunia katika ajali ya gari Jota alipata ajali hiyo leo alipkuwa nchini Hispania na amefariki akiwa na mdogo wake walipokuwa pamoja ndani ya gari dogo. Mwandishi nguli wa Habari za Michezo kutoka nchini Italia Fabrizio Romano amethibitisha taarifa hizo kwa kuandika katika ukurasa wake wa Instagram.
uhurumoja JF-Expert Member Joined Mar 2, 2014 Posts 11,915 Reaction score 28,284 Jul 3, 2025 #2 πππ
Shadow7 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2020 Posts 33,952 Reaction score 56,156 Jul 3, 2025 #3 Wamefanya vizuri
Wisdomndukovic JF-Expert Member Joined Aug 17, 2023 Posts 223 Reaction score 255 Jul 3, 2025 #4 R.I.P. Diogo Jota ππΎ
Buttler Jo JF-Expert Member Joined May 26, 2025 Posts 901 Reaction score 811 Jul 4, 2025 #5 Ahsante kwa Taarifa..
MrKanteChelsea JF-Expert Member Joined May 12, 2019 Posts 728 Reaction score 988 Jul 4, 2025 #6 Tofauti yao ni sisi
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jul 4, 2025 #7 Sawa sawa
Mr Q JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 22,496 Reaction score 51,721 Jul 4, 2025 #8 Wamlipe mkewe mafao