hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 13,628
- 20,992
Unamkumbuka Lazaro wa Bethania? Binadamu alieishi Karne ya kwanza hapa duniani, anaezungumziwa kwenye Injili ya Yohana? Yule binadamu aliefufuliwa na Nabii Issa bin Mariam baada ya kifo chake ndani ya siku nne?
.
Anyway wale wahuni na wahafidhina wa Liverpool wakuitwa Liverpudlian wanadai ile comeback yao dhidi ya Barcelona pale Anfield ni ya pili baada ya maajabu ya ufufuo wa Lazaro[emoji3]
.
Kaskazini mashariki mwa England mnamo saa 3:43 usiku, dakika ya 82:50 kwenye dimba la Anfield tayari majogoo wapo mbele kwa bao 4-0 dhidi ya Barca, what a miracle kila mtu anashangaa maajabu ya Liverpool
.
Divock Origi turned in to do the miracles, wakati uwanja na majukwaa yote ya Liverpool yameamka, kuanzia jukwaa la The Kop, Sir Kenny Dalgish na Anfield Road End kote kumeamka, nyasi za Anfield zinapendezeshwa na Gergen pressing, kuna muda wahuni walitengeneza space, walicover space na kubackup space, absolutely totality [emoji91]
.
Wakati ngoma inaelekea mwishoni wale wahuni wanaomkubali sana Bill Shankly, wakaliamsha goma lao, "The fields of Anfield Road" hii nyimbo ikiwa inaimbwa huwa wanalia, huwa wanachizika, Mwanaliverpool yoyote anaruka huku wakitaja vipenzi vyao, Bill Shankly, Kenny Dalgish 'King Kenny' na Paisley [emoji119]
.
"Outside the Shankly Gates
I heard a Kopite calling
Shankly they have taken you away
But you left a great eleven
Before you went to heaven
Now it's glory round the Fields of Anfield Road"
.
Hii inapopigwa Gerrard anakwambia wale watoto halisi wa Melwood wapo tayari kuweka kichwa mbele ya mguu, ni spirit yao ni kumtaka mchezaji atoe jasho na damu
.
Ni saa 4:10 usiku, game imeisha pale Anfield, Liverpudlian wanatoka uwanjani, bado wanapiga goma lao, wanapitia baa kupata urabu wa kutosha till midnight, hao ndio LIVERPOOL [emoji119]
.
Baba yangu alikuwa ni shabiki namba 1 kati ya mashabiki wa Liverpool kisha Bongo yeye ni Yanga Afrika[emoji23]