Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba mpaka muda huu timu ya soka ya Napoli ya Italia inaongoza kwa bao 4-1 dhidi ya Majogoo wa Jiji huko Mjini Napoli, game inaendelea.
Bila shaka hiki ni kipigo kitakatifu kwa Jurgen Klopp kuwahi kukipata kwenye nchi ya Italia.
Je, atapindua meza huko kwao?
Bila shaka hiki ni kipigo kitakatifu kwa Jurgen Klopp kuwahi kukipata kwenye nchi ya Italia.
Je, atapindua meza huko kwao?