Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Siyo kwa bao hizo aisee !!Kuwa juu sio shida kumaintain hapo juu ndio kazi ipo
Wewe wa Mjini hatuna shida naweKuwa wa kwanza ki aje, watu tuna live scores app, tupo uwanjan, tupo vibanda umiza.
Yote kwa yote liver kumtoa Mane lilikuwa bonge la mistake. Timu hadi ije ipate equilibrium watapigwa sana.
Yote kwa yote liver kumtoa Mane lilikuwa bonge la mistake. Timu hadi ije ipate equilibrium watapigwa sana.
Unajua ana magoli mangali Bundesliga? Tayari ana goli sita. Kama anashangaa na anafunga basi maajabu mengine hayo.mimi nahisi huyo mane kuondoka pale liver ndio ilikua mistake kwakwe, mana kule munich yupo anashangaa shangaa tu.
Muulize barca atakuelezea vizuriSiyo kwa bao hizo aisee !!
Barca vs Roma ilikuwaMuulize barca atakuelezea vizuri
Shida waingereza kuendekeza ubaguzi sana, Mane angepewa status kama aliyopewa wakina Torres au Suarez jamaa angepambania sana timu, wao kazi kupeleka pesa kwa weupe wenzao , kumuongezea mshahara jamaa waliona kama kutupa pesa acha wapambane na hali zao Salah kupambania timu bado sana , anahitaji mazingira yawekwe sawa ndo aonyeshe cheche, mane ni mashine hata timu ikiwaga imezidiwa anatumiaga sana juhudi binafsi kulazimisha mamboMiaka 30 Inaanza kunukia plus yule Gerald who they are considering him as next Manager of Liverpool will be sucked by Aston Villa this season because of his incompetency.
Mkuu hapa unakwama ujue😅😅Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba mpaka muda huu timu ya soka ya Napoli ya Italia inaongoza kwa bao 4-1 dhidi ya Majogoo wa Jiji huko Mjini Napoli, game inaendelea.
Bila shaka hiki ni kipigo kitakatifu kwa Jurgen Klopp kuwahi kukipata kwenye nchi ya Italia.
Je, atapindua meza huko kwao?
Kila siku siyo JumapiliMuulize barca atakuelezea vizuri
Unajua ana magoli mangali Bundesliga? Tayari ana goli sita. Kama anashangaa na anafunga basi maajabu mengine hayo.