MILL8 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,837 Reaction score 879 Aug 27, 2017 #1 haya watoto wa mjini wanafumuliwa kama hawamo uwanjani polen arsenal hii ndo liverpool tunachakaza sisi hatuna maneno mengi ila vitendo bado vigogo wengine kama man u,chealsea,na city
haya watoto wa mjini wanafumuliwa kama hawamo uwanjani polen arsenal hii ndo liverpool tunachakaza sisi hatuna maneno mengi ila vitendo bado vigogo wengine kama man u,chealsea,na city
Mwifwa JF-Expert Member Joined Apr 3, 2017 Posts 48,474 Reaction score 125,866 Aug 27, 2017 #2 Naomba Wenger akamatwe na wacanada kama Bombardier yetu, tumechoka kila siku kulizwa tu
King _Of_Everything JF-Expert Member Joined Nov 19, 2014 Posts 695 Reaction score 1,354 Aug 27, 2017 #3 Hahahaa kuwa shabiki wa Arsenal ni ugonjwa usio na jina...
MILL8 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,837 Reaction score 879 Aug 27, 2017 Thread starter #4 Brave boy said: Hahahaa kuwa shabiki wa Arsenal ni ugonjwa usio na jina... Click to expand... ni bora uwe na ukimwi unajua unakufa na ukimwi
Brave boy said: Hahahaa kuwa shabiki wa Arsenal ni ugonjwa usio na jina... Click to expand... ni bora uwe na ukimwi unajua unakufa na ukimwi
MILL8 JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 1,837 Reaction score 879 Aug 27, 2017 Thread starter #5 Mwifwa said: Naomba Wenger akamatwe na wacanada kama Bombardier yetu, tumechoka kila siku kulizwa tu Click to expand... pole wenzenu tunanenepa
Mwifwa said: Naomba Wenger akamatwe na wacanada kama Bombardier yetu, tumechoka kila siku kulizwa tu Click to expand... pole wenzenu tunanenepa
ywf JF-Expert Member Joined Aug 3, 2017 Posts 788 Reaction score 919 Aug 27, 2017 #6 alafu wachezaji wa liver walikua wengi wanjani yan kila mahali mpira ulipo na wao wapo mpaka wamenikera[emoji35] [emoji35] Sent using Jamii Forums mobile app
alafu wachezaji wa liver walikua wengi wanjani yan kila mahali mpira ulipo na wao wapo mpaka wamenikera[emoji35] [emoji35] Sent using Jamii Forums mobile app