Livescore; Yanga Vs Mobejaja -13.08.2016

Status
Not open for further replies.
Amavubi,
Kama kawaida ya ''utamaduni/mazoea'' tuliojiwekea JamiiForums tunaamini utauendeleza uzi huu kwa up-dates bila ya ya kujali hali ni mbaya au nzuri.

Umejitwisha jukumu kubwa lenye lawana na inatakiwa kuwa na kifua lakini kwa vile wewe ni ''mkongwe'' hapa JamiiForums sina shaka na wewe.
 
Hahahaha yaan leo yanga msiposhinda mtakuwa mmeweka historia mbaya sanaaa katika nchi yetu
 
Wale wamatopeni leo mkaingie kwa hela hamna dezo na kujidhalilisha kuvaa jezi za wamakimatifa. Njaa mbaya sana.
 
Uzalendo wa nini kwa mavyura fc.wafungwe tu,hamna haja ya kutetea timu kiini macho.
 
naibetia 10min X, Yanga haiwezi kufungwa kitoto kiivyo, gemu Yanga anashinda au suluhu.
 
Hahahaa Bejaia piga hao yeboyebo wa njano, japo sina tim hapa bongo..nitaendelea kushabikia nje, hapa twendelee tu kufungua viwanda, mpira hatuna.
 
Reactions: PNC
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji196] [emoji196] [emoji196]

Gari la maiti. Lazma likodishwe tena
 
Leo watani mbona kama mmepoa sana. kuna baridi kwani?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji196] [emoji196] [emoji196]

Gari la maiti. Lazma likodishwe tena
vyura fc....ntafurahi wakipigwa 3...mtungi..

wana mdomo sana.....
 
Reactions: PNC
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…