Livescore; Yanga Vs Mobejaja -13.08.2016

Status
Not open for further replies.
Kumbe kwenye kundi lao Yanga ikishinda mechi ya Leo itakuwa inaongoza TP mazembe nafasi ya pili
 
Wakuu kama kuna anayeweza kuweka link hapa ya kustream , naomba anisaidie kwa kuweka hapa.
 
Enyi Wahanga, Matangazo yanapatikana kituo gani cha tv?
 
Jamani, hakuna link ya kuweza kupata Live Streaming?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…