Original Pastor
JF-Expert Member
- Nov 14, 2007
- 1,274
- 51
Kuna radio moja tu nijuayo mimi Tanzania ambayo unaweza kuipata live online nayo ni RADIO MARIA kwa watu wa nje ya tz mnaweza kupata mapitizo ya magazeti ya tanzania kila siku sa mbili na nusu asubuhi. (EAT)link yao ni http://www.radiomaria.org/media/start.asp?SOURCE=tanzania-hq&TITLE=tanzania - hq.
Tuna kazi ndefu na kubwa kuifanya hii Tekonohama itumike kubadilisha maisha ya watu positively na kuwapatia taarifa. tatizo letu sote ni watu kutokupata taarifa (Information) in right time