Living the dream: Jokate akiwa na Jay Z na Beyonce kwenye NBA all star game

MKATA KIU

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,410
Reaction score
8,184
Habari wadau...
Hii awamu ya kuisoma namba ni kweli namba tunaisoma wote au watumishi tu..Mfanyabiashara maarufu wa nywele za kidoti amejipa outing kidogo ya kwenda kuchek NBA all star game...

Ambapo alipata favour ya NBA africa kumsogeza na kusalimiana na Jay z na beyonce
 
Attachments

  • 1454045315220005607_220323705.jpg
    110.6 KB · Views: 177
we si umeona Jay anasalimiana nae kama wana juwana!....pia ingekuwa ni joket anasha post sehemu kibao....ni mtu tu kafanana nae wabongo tumempa Kick kick
 
umeingia kwenye account za jokate ukaona tangu juzi anapost nini??

hizi namba hatuzisomi wote ndugu... nenda insta au facebook ukaone post zake

we si umeona Jay anasalimiana nae kama wana juwana!....pia ingekuwa ni joket anasha post sehemu kibao....ni mtu tu kafanana nae wabongo tumempa Kick kick
 
we si umeona Jay anasalimiana nae kama wana juwana!....pia ingekuwa ni joket anasha post sehemu kibao....ni mtu tu kafanana nae wabongo tumempa Kick kick
Ni yeye jamani na yupo huko Us
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…