Ni ww au!!uyo sio Joket mkuu
duuuh we jamaa unakomaa kabisa kua uyo sio joketi!hizi media za bongo ni hovyo kabisa.....uyo sio Joketi.
Ohoooo!!!Ni ww au!!
Mkuu, maisha ni yale yale tu. we breath the same air, share the same sun and moon hata kifo ni kile kile tu, ila sasa utofauti uko kwenye mzigo ulioko kwenye bank account.Hee! Hawa jamaa vipi? Embu ona mtoto wa Jay Z kavaa zile raba za DHL (Dingi hana uwezo) na pia ona kituko alichovaa Beyonce, iyo nguo pamoja na umasikini wangu hata siwezi kuivaa! Kweli maisha ni yale yale tu...
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] ngoja nimuite aje kuona comment YakoPole sana ally naona mtoto kaenda kumtembelea mtu mrefu
Huyo demu hakawii kumsingizia Beyonce ana mchukulia Kibakuli...Beyonce mbona hana habari kala mkausho mkali
Niliwaza hivyo piaPole sana ally naona mtoto kaenda kumtembelea mtu mrefu
Niliwaza hivyo pia
basi ni dada yakowe si umeona Jay anasalimiana nae kama wana juwana!....pia ingekuwa ni joket anasha post sehemu kibao....ni mtu tu kafanana nae wabongo tumempa Kick kick
Eti utakuta ni linjemba lenye manyoya mpaka makalioni ndio limetoa hii comment kisa uteam ushuzi ushuzi.Kachoka na Kibamia kaenda kula muhogo wa jang'ombe
Achana na Tomaso mkuu utapoteza mdaha haaa haaa yaani upo serious kabisa eti sio joketi!
kuna watu wabishi aseee