Wadau mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mbigiri Kata ya Magole wilayani Kilosa..nimesoma shule ya Msingi Mbigiri ambayo Mbunge wa Mtera Bw Livingstone Lusinde naye alisoma huko..,Nimeongea na alitekuwa mwalimu wa Shule hiyo(amestaafu kwa sasa) kuhusu ndugu Lusinde.,lakini amenithibitishia kuwa Lusinde hakumaliza darasa la Saba aliishia Darasa la Sita..na wakati huo alikuwa anaishi kitongoji cha Misufiti maarufu kama Gheto..Nakaribisha maswali zaidi nitayajibu..
Polis - View MpGeneral
Darasa la saba ndo sifa ya ubunge kwa maana hiyo lusinde hafai maana hana sifa iyo.,.wanaharakati mko wapi?
Hata Mhesimiwa mkuu akufanya shahada ya udhamili, wala uzamivu, lakini sasa ni Daktari wa Filosofia....!Wadau mimi ni mkazi wa Kijiji cha Mbigiri Kata ya Magole wilayani Kilosa..nimesoma shule ya Msingi Mbigiri ambayo Mbunge wa Mtera Bw Livingstone Lusinde naye alisoma huko..,Nimeongea na alitekuwa mwalimu wa Shule hiyo(amestaafu kwa sasa) kuhusu ndugu Lusinde.,lakini amenithibitishia kuwa Lusinde hakumaliza darasa la Saba aliishia Darasa la Sita..na wakati huo alikuwa anaishi kitongoji cha Misufiti maarufu kama Gheto..Nakaribisha maswali zaidi nitayajibu..
Polis - View MpGeneral
Hapana mkuu katiba inasema sifa ya kuwa mbunge ni uwe unajua kusoma na kuandika aidha Kiingereza au Kiswahili. Kwa hiyo anyone who is literate anaweza kuwa mbunge hata kama hana shule rasmi.
Ila niseme tu kwamba sishangae kabisa kwamba huyu bwana haja makiza shule ya msingi. Katiba mpya iweke wazi kiwango cha elimu mtu anayo takiwa kuwa nayo kama anataka kuwa mbunge.
mbona humalizii mkuu pia mzee lusinde siye baba yake ni mtoto wa houseboy wa mzee lusinge, swali hivi ni kwa nini anatumia jina la boss wa baba yake?