Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Ila niseme tu kwamba sishangae kabisa kwamba huyu bwana haja makiza shule ya msingi. Katiba mpya iweke wazi kiwango cha elimu mtu anayo takiwa kuwa nayo kama anataka kuwa mbunge.
Ni kiwango gani cha elimu kiwe ndiyo kiwango cha chini kabisa ambacho mbunge atakiwe kuwa nacho?
Well this is my own opinion ila mimi ningeona kwamba form 4 ingefaa kuwa kiwango cha chini cha elimu maana hata serikalini kiwango cha chini cha kuweza kupata ajira ni form four.
Darasa la saba ndo sifa ya ubunge kwa maana hiyo lusinde hafai maana hana sifa iyo.,.wanaharakati mko wapi?
kwahiyo upuuzi wake anaouongeaga bungeni uasababishwa na ujinga wake mwingi ulioko kichwani.Kwa hiyo?
Dah!jamanii,siri zangu zote hadharani.Ndio sababu akiona ishara ya USHINDI ya "V" ya Chadema anakumbuka manati aliokuwa anatumia kuulia ndege wa kitoweo huko kwao Mtera.
Darasa la saba ndo sifa ya ubunge kwa maana hiyo lusinde hafai maana hana sifa iyo.,.wanaharakati mko wapi?
Mtu yeyote makini atajua tu hilo kutokana na ongea ya mtu kwenye public!
Mbaya zaidi ujue mtu akama anaweza kuongea hivyo mbele za wakubwa na watoto, basi ujue mkewe ndani ana shida, na hakuna tusi asilowahi kutukanwa!
Pole mama, Mrs Lusinde!
Hapana mkuu katiba inasema sifa ya kuwa mbunge ni uwe unajua kusoma na kuandika aidha Kiingereza au Kiswahili. Kwa hiyo anyone who is literate anaweza kuwa mbunge hata kama hana shule rasmi.
Ila niseme tu kwamba sishangae kabisa kwamba huyu bwana haja makiza shule ya msingi. Katiba mpya iweke wazi kiwango cha elimu mtu anayo takiwa kuwa nayo kama anataka kuwa mbunge.