Livingstone Lusinde, japo ni darasa la saba tuu, ni kichwa mbaya!, ana uwezo mkubwa na pia ana powers fulani!.

Duh...!. Nimemsikia akiongea na kumtaja mtu kwa jina kwa kumtuhumu bila ushahidi!, ukihoji intellect ya baadhi ya viongozi wetu, unaweza kuonekana huna nidhamu!.

Kiukweli Kibajaji ambae ni darasa la Saba, ana afadhali sana!.
P
 
Umenena, ana uwezo mkubwa wa kuchambua mambo. Tulikuwa nae huku Kawe akiwa Chadema, akiongea unapenda tu kumsikiliza. Ila angepiga vidato na chuo, angeshangaza sana. Niligindua kusoma bila kipaji cha uongozi hutoboi. Kipaji + elimu= ufanisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ilinipita hii

Good job pascal
 
Ku a huyu, Lema Msukuma na Mbowe. Hawa watu usithubutu kuwapa sikio lako. Wanao uwezo katika kupanga na kupangua hoja.
 
Kibajaji naeni kichwa 😂😂😂kazi ipo
 
Kibajaji naeni kichwa 😂😂😂kazi ipo
Yes Kibajaji ni kichwa sana, na hata Musukuma, kwa kuzingatia huyu ni darasa la 7, lakini anashusha nondo za maana sana compared na wasomi wenye macheti makubwa ila when it comes to kwenye kushusha nondo, they are just empty shells!.
P
 
Yes Kibajaji ni kichwa sana, na hata Musukuma, kwa kuzingatia huyu ni darasa la 7, lakini anashusha nondo za maana sana compared na wasomi wenye macheti makubwa ila when it comes to kwenye kushusha nondo, they are just empty shells!.
P
Tatizo sio kuwa wasomi wetu hawana IQ kubwa..bali wanaendekeza njaa inayosababisha wawe watu wa kujipendekeza. Mimi kwa siasa za kibajaji za matusi na uhuni hanivutii na wala siwezi kumchukulia kuwa ana IQ kubwa. Labda niseme ana bahati
 
Naunga mkono hoja, kiukweli kabisa huyu ni genius fulani basi tuu!.
P
 
Elimu ni muhimu sana katika maisha ya binadamu ila sio chanzo pekee cha mafanikio,,
 
Mkuu Yohana Mbatizaji, johnthebaptist , karibu na mitaa hii huyu ni shujaa wangu.
P.
 
Hii ni sarcasm tu...hakuna genius hapo.
Karibu!.
P
 
Kuna kitu nilikisema kumhusu huyu jamaa, juzi kati pale Dodoma, nimekithibitisha!.
View: https://youtu.be/qlGYAoqK0Yc?si=15sg_GUmylgaxl8NP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…