johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #21
Labda mwenye nyumba alitaka usiku ule wasinaniliu.......!!!!Kibajaji alisema......
Hatokuja kusahau kazi yake ya kuuza kahawa kwa mzee Saidi na Siku alipo fukuzwa kwenye chumba kimoja alichokua amepanga, na mwenyenyumba aling'oa mabati na kisha mvua ilinyesha usiku ule......
Siyo uspika?!!Kibajaji ajipange kugombea udiwani
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Labda mwenye nyumba alitaka usiku ule wasinaniliu.......!!!!
Mkuu....katiba ya kujua kusoma na kuandika kama sifa ya mbunge inaleta dharau kwa wasomi,yaani muuza kahawa anakuja sema ana maisha mazuri kuliko msomi kisa kupiga domo na kujipendekeza tu.
Ohhhoooo......[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mbona kama hili andiko ni la kuomba msaada?
Unamaanisha Yohana Kilevi....[emoji45] [emoji45]Tena kama huyu Yohana hamna kitu kabisa
Ndio yohana huyo huyoUnamaanisha Yohana Kilevi....[emoji45] [emoji45]
Kibajaji ajipange kugombea udiwani
[emoji13] [emoji13]Siyo uspika?!!
Wewe ni Ke au Me
Unaujasiri gani wa kuandika maneno matatu ya mwisho
Hii ni aina ya vinasaba vya wivu wa hali ya juu kwa kiwango cha lami.Ifike hatua bunge liweke kiwango walau cha form four ili mtu awe mbunge...
Basi sawaNdio yohana huyo huyo
Kuna ubora wowote wa hotuba za watu kama hawa mbali na kumimina mitusi na dhihaka? Kama upo paste hapaHii ni aina ya vinasaba vya wivu wa hali ya juu kwa kiwango cha lami.
Hivi kumbe..... mtu ambae hajasoma haruhusiwi kupata mafanikio....[emoji15] [emoji15]
Je mkewe alimuonyesha cheti cha form 1VAmesisitiza kwamba akiwa muuza kahawa alibahatika kumuoa house girl