Livingstone Lusinde(Mb): Muuza kahawa aliyemuoa house girl!

kawazidi bavicha wengi tu wanaokesha kutukana mitandaoni.
 
MKUU UNAJUA UTAMU WA MA HOUSE GIRL?

USIJARIBU, WATAMU MPAKA HASIRA
Mtazamo hasi wa kijinsia. House girl ni mtu mwenye ajira halali lakini kwa tabia ya ukware ya wanaume, house girl amekuwa mtu wa kudharauliwa. unaposema "Utamamu wa house girl" ume "commodify" ubinadamu wake. Unatakiwa kuwaomba radhi house girls kupitia jukwaa hili.
 
Hawa vilaza hawajitambui kwamba ni vilaza. Mtu akiwa na sent mbili tu tayari anajilinganisha na professor. Tumia hiyo sent basi leo ununue PhD ya orthopedic.
 
Kuna ubora wowote wa hotuba za watu kama hawa mbali na kumimina mitusi na dhihaka? Kama upo paste hapa
wanatoa Inspirational ideas kwa watu kama nyie ambao hamjafanikiwa!..au ulitaka mpaka bakhressa aje aseme ndo uone kutosoma sio kutofanikiwa?..
 
hiyo phd inaleta chakula mezani??

phd ya kukariri haijawai gundua kitu nayo unasema phd...

pesa ndio kila kitu kwa maisha ya sasa.. hizo.phd zikitumbuliwa zinalia machozi na zinasema ndugu wananitegemea.. halafu unasema zimeelimika

Hawa vilaza hawajitambui kwamba ni vilaza. Mtu akiwa na sent mbili tu tayari anajilinganisha na professor. Tumia hiyo sent basi leo ununue PhD ya orthopedic.
 
Hawa vilaza hawajitambui kwamba ni vilaza. Mtu akiwa na sent mbili tu tayari anajilinganisha na professor. Tumia hiyo sent basi leo ununue PhD ya orthopedic.
Nani alikudanganya kuwa fedha haiwezi kununua PhD?!!!
 
Kwa hiyo miswada ya kimombo yeye uwa anajibu tu ipiteeeee!!,mazero blain bwana
 
Na mahousegirl wana tabia za kudokoa vitu na kuwapa mabwana zao hakulisema hili yeye alinufaika na vipi
 
Alisema.....
Kilicho mfanya afikie hapo alipo leo, ilikua ni nidhamu ya pesa. Na kwa muuza kahawa ilikua ni mwiko kupanda daladala, kula kwa mama ntilie, kununua viatu na kuhonga. Hayo yote yalikua ni marufuku kwake
Alikaza kwelikweli [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…