Elections 2010 Liwa Ule: CCM yalipisha wagombea Sh 1m kila mmoja

Buyaka

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2010
Posts
1,705
Reaction score
1,953
Bajeti ya serikali inayumba, wizara na taasisi nyingi zinalalamika hazina hela, lakini hata siku moja sijasikia CCM inalalamikia bajeti yao. Huyo accountant anaewabunia miradi ya chama lazima umkubali kwa usanii
 
Hakika, Ninakwambia sijui kuna nini huko CCM maana ukimuuliza kila aliegombea CCM kuanzia ngazi ya udiwani kiwango cha chini alichochangishwa 400000/= kwa diwani na kwa wabunge ni 1500000/= eti kukisaidia chama gharama za uchaguzi na zote hizo zilikuwa zinatolewa kwa makatibu wa CCM wa kila wilaya cha ajabu ni kuwa je hela za ruzuku za CCM huwa zinatumikaje? au zote zinatumika makao makuu tu au hupelekwa wilayani bali wmakatibu wa CCM wilaya huamua watakavyo ili nao wavune! Ninakwambia baada y madiwani kupitishwa na CCM tayari baadhi ya makatibu wa CCM wa wilaya waliwaita(Wilaya tunayo) kuwa kila mgombea udiwani wa CCM aliyepitishwa alitakiwa kuandaa BAJEI ISIYOZIDI MILIONO KUMI NA HALAFU WATAFUTE HIYO FEDHA WENYEWE!!

HII ni kinyume kabisa na sheria ya mwak 2010(election expenses) N0 6.

(expenses for nomination process) say "14.(1) All expenses to be incurred during the nomination process withini the political parties shall be borne out by a political party concerned "

Je kwa mtindo huu wa CCM kutaka wagombea wake wajitolee fedha MASIKININI ATAPATA UONGOZI NDANI YA CCM?

AMA KWELI KAMA ASEMAVYO SHIBUDA- TANZANIA BILA MALARIA INAWEZEKANA LAKINI CCM BILA RUSHWA 'NA BILA KUCHANGISHA' MATAJIRI HAIWEZEKANA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…