Mtafiti77 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2011 Posts 1,877 Reaction score 2,314 Jun 23, 2023 #1 Ndugu watanashati, Ninaomba kufahamishwa maduka yanayouza manukato (perfumes) halisi hapa Dar. Ninapenda nipate marashi yanayoanzia elfu themanini(80,000) hadi laki moja na hamsini(150,000). Tafadhali, ninaomba kujuzwa. Nimechoka marashi fake!
Ndugu watanashati, Ninaomba kufahamishwa maduka yanayouza manukato (perfumes) halisi hapa Dar. Ninapenda nipate marashi yanayoanzia elfu themanini(80,000) hadi laki moja na hamsini(150,000). Tafadhali, ninaomba kujuzwa. Nimechoka marashi fake!
Carasco Putin JF-Expert Member Joined Apr 23, 2022 Posts 10,644 Reaction score 32,375 Jun 23, 2023 #2 [mention]Saint Anne[/mention] muone