Liwapi duka la manukato (perfumes) halisi hapa Dar?

Liwapi duka la manukato (perfumes) halisi hapa Dar?

Mtafiti77

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,877
Reaction score
2,314
Ndugu watanashati,

Ninaomba kufahamishwa maduka yanayouza manukato (perfumes) halisi hapa Dar. Ninapenda nipate marashi yanayoanzia elfu themanini(80,000) hadi laki moja na hamsini(150,000).

Tafadhali, ninaomba kujuzwa.

Nimechoka marashi fake!
 
tembelea hawa "zawadiz" ambao pia hujiita "fahim ayaz" wapo masaki/msasani na posta hawana bidhaa feki wachek instagram
 
Back
Top Bottom