Mpita Njia
JF-Expert Member
- Mar 3, 2008
- 6,997
- 1,172
Nasikia Mahakama ya Kisutu imemwachia huru
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huh!
Unasikia toka kwa nani?
.........NA FEDHA NI JAWABU LA MAMBO YOTE.!.....
More details: Mahakama imemfutia shitaka la kuisababishia serikai hasara. Anatakiwa ajitetee kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi. kwa kuwa masharti ya kosa lililobaki ni nafuu, ni dhahiri kwua ataachiwa kwa dhamanaYa kweli hayo wadau?
More details: Mahakama imemfutia shitaka la kuisababishia serikai hasara. Anatakiwa ajitetee kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi. kwa kuwa masharti ya kosa lililobaki ni nafuu, ni dhahiri kwua ataachiwa kwa dhamana
Nasikia Mahakama ya Kisutu imemwachia huru
More details: Mahakama imemfutia shitaka la kuisababishia serikai hasara. Anatakiwa ajitetee kwa kosa la matumizi mabaya ya ofisi. kwa kuwa masharti ya kosa lililobaki ni nafuu, ni dhahiri kwua ataachiwa kwa dhamana
Kutoka Mahakama ya hakimu Mkazi KisutuHuh!
Unasikia toka kwa nani?
Sasa ni kipi cha kweli Mkuu wangu MN?
Nadhani ni namna ya kufunika walokula naye!
He has learned a lesson hata akipewa dhamana.
Dawa ya muovu siyo lazima afe ndio tuone kaadhibiwa.Kudhalilika kulikompata, mateso ya kukosa uhuru, soni atakayokuwa nayo pale akiwa nje ya mahabusu - vyote ni mateso.