Liyumba aonekan viwanja vya 77

Liyumba aonekan viwanja vya 77

Ochu

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2008
Posts
976
Reaction score
47
DSC09079.jpg

hapa akikatiza mbele ya banda ya BOT hata kuliona hataki kageuza shingo mbali
 
Hivi ni yeye kweli au kafananishwa???
 
Ochu,

Kama upo Sabax2 utakuwa unafanya kama "avanta" yako inavyoonyesha! Au umepita karibu na banda la "einikeni"!
 
Huyu ni Che- Mundungwayo, mwalimu wa kwanza kabisa wa Lwiza Mbutu, enzi hizo anaitwa Lwiza Nyoni....
 
.....sijui nikushtaki kwa kunifananisha naye??!!!
 
Hahahahahahahahaah ama kweli leo Ijumaa! Asante Mdau....nimeosha macho kwa huyo binti zaidi
 
Back
Top Bottom