Liyumba amemaliza kifungo chake cha miaka miwili aliyohukumiwa kwa matumizi mabaya ya madaraka, ikumbukwe hata mahakimu walitofautiana mmoja alisema hana hatia wawili wakamtia hatiani, nilikuwepo siku ya hukumu na nikasikiliza kwa umakini mwanzo mwisho, my take jamaa alitakiwa afungwe come rain come sun, ila kwamba alikuwa amebananishwa na kesi ahh sidhani na ningependa kujua yule hakimu ambae hakumtia hatiani kama bado yuko pale kisutu. Hata kama jamaa alikuwa kapiga hela bado si busara kumfunga kwa style ile, hakukuwa na kesi ila ilikuwa lazima asote jela. Angalia kuanzia dhamana yake ambayo hakuipata. Yule Gire wa Richmond walimkamata, akapata dhamana na faster kesi yake imeshaisha na jamaa kashinda nafikiri saa hizi atakuwa keshafungua madai yake ili avute mpunga mwingine, siasa mbele daima, PCCBd wataalam wa kuchunguza kama wapo basi nao naona wanatafuta majimbo ya kugombea