Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Waziri mkuu alishajisemea hawa watu ni vigumu kuwashtaki. tehetehe
Mkuu Field Marshall ES,
Nakushukuru kunisaidia kujibu hoja za wale wanaona ambayo wengine hatuyaoni... ati Mkuu wa Nchi ndiye Jaji pia, na Ndio Hakimu pale... Kisutu... ati mpaka wafungwe watuhumiwa wote ndio serikali itakuwa imefanya kazi.
Ndio wale wanaosema uchaguzi huru na haki ni pale chama pinzani kinaposhinda tu... Tarime uchaguzi ulikuwa huru, Mbeya vijijini uchaguzi umeibiwa, daftari la kudumu la wapiga kura lina mapungufu, as if hili daftari limeandikishwa juzi, wakati lilikuwepo muda mrefu si wangefuatilia.
Ndio wale wanawapa kichwa CUF kwamba waende mahakamani kusema uchaguzi umeibiwa kura... si wakishinda mahakamani si watarudi kupigiwa kura tena,,, je watashinda...
Hivi wananchi wa tanzania ni wajinga kiasi gani? kuchagua watu ambao wanapatikana wakati wa uchaguzi tu.
Tanzania yetu inasikitisha... nijuavyo mimi upande wa Serikali umekamilisha... si cheo cha Felesi kiko kikatiba in fact haitwi yuko ndani ya Serikali. Maana ana uhuru wa kukataa au kupeleka jambo mahakamani kulingana na anavyoona... ndio maana Hakumpeleka faili la Karamagi.
Kwa hiyo... naomba kuuliza,
Je bado tuamini JK ni legelege kama tulivyokuwa tunahubiriwa na kundi la "wabadilisha fikra"?
- Kama kufikishwa kwenye sheria kwa hawa wakuu wa BOT ni uamuzi wa rais, basi Tanzania huenda hatuna sheria kabisaa meaning kwamba ni a lawless nation kama Sodoma na Gomora, is that so?
Oyaa....vipi yule mzungu wako wa kwenye trailer park....? keshakutosa nini
WakuluWakati tunasema mwanzoni kuwa serikali ya JK ni ze comedy na mkulu mwenyewe ni joti mlifikiri ni utani sasa subirini muone what will happen, no body atafungwa na hawa wote wameshambiwa kuwa hakuna wa kufungwa lakini ili kukipa uhai chama cha mafisadi inabidi watolewe kafala na kufikishwa mahakamani.
Ni kweli hakuna ushaidi wa kuwepo kwa rushwa lakini kuna mazingira ya rushwa hapa ni vigumu kuwashitaki kwa rushwa na kuwashitaki kwa makosa waliyoshitakiwa nayo ni sawa na mchezo kwani hakuna mtu anayeweza kufungwa kwa makosa ya kuzembea na kuitia serikali hasara.
Today's decision may be relevant to the ciecumstances but may be irrelevant to next days circumstances, hizi body duties zao ni nini kama mnapitisha kila kinacholetwa na wao wapelekwe mahakamani, kama hawakupelekwa then no body atakuwa convicted kwani wao wajibu wao ilikuwa kushauri body na body inaweza kukataa au kukubali ushauri wao.
Sijui upande wa sheria lakini mshauri anaweza asibebe mzigo wa decision ya mtu mwingine unless otherwise stated kwenye duties zake kwamba ushauri wake utakuwa ndio wa mwisho ili body ifanye decisions.
Enron ilipokufa kamouni ya mahesabu haikushitakiwa ila ilikufa kifo cha kawaida kwa kupoteza credibility ya intergrity kwenye proffessional, hata hawa it will be the same washachukua mapesa yao watakaa chini wale vizuri labda hadhabu waliyopata ni kutokuwa kazini na wengine waliachwa mpaka wakastaafu wenyewe kwahiyo kodi za watanzania wataendelea kuwalipa pension pamoja na kuwaibia mabilioni.
Ama kweli tanzania ni shamba la bibi.
MkuluHaya majengo ni bonge la scandal. PCCB bila msaada wa hao wataalam waliopewa kazi ya kufanya ukaguzi itakuwa ngumu kuwatia mbaroni kina Liumba maana malipo yote alipewa mkandarasi moja kwa moja. watu wanajua ukweli wa kila kitu ni waliokuwa washauri wa ujenzi na mkandarasi mwenyewe.
PCCB ikiwa haijajipanga vizuri watarudi uraiani mda si mrefu. Technical Audit ya wataalam ni muhimu sana. Kujenga jengo lenye gharama ya US$ 8000 kwa mita ya mraba TZ ni ndoto, sijui liwe na nini. kuna mambo mengi yatagundulika kama uchunguzi na kesi vitaenda sawasawa