Wakuu MZUMBE UNIVERSITY ni chuo bora sana hususan katika course za BAF(B,ACCOUNTING&FINANCE),HRM,NA LL,B kinachukua wanafunzi wazuri sana na wenye ufaulu mzuri kwenye hizo kozi na pia hapa MZUMBE kuna competent lecturers with PhD
Mshahara kazini hauangalii chuo ulichotoka, wewe soma uhasibu huko mzumbe harafu mwenzako asome kwenye college yoyote iliyosajiriwa harafu mtafute kazi, mwajiri hataangalia ulisoma wapi yeye ataangalia cheti tu, si unajua bongo cheti ndio mpango mzima.
umekosea baba sababu kuna wengine waliomba mu lakini wakatemwa wapo udbs bcom finance na pia wapo washkaj zangu waliomba bcom udbs wakatemwa wapo baf.so si wote walitemwa .mfano nikianza namimi mwenyewe mbona sio reject ya ud,pia mbona wengn wapo ud lakn huwez linganisha na wengine wapo pale mu walikuwa na poin za ajabu yaani kubwa tu.so jipange kwanza .unataka mifano zaidi nifunguke na ushahidi hapa?