Habari zenu ndugu!
Ninataka kusoma LLB kwa intake ya 2012/2013, naomba kujuzwa ni chuo gani kinatoa LLB kwa Madarasa ya Jioni na ubora wake ktk utoaji wa hiyo elimu ya sheria kiujumla.
Nilipata chuo kimoja cha UK (LSE) kwa Distance Learning(4 years) lakini nimesikia kwa watu wengi wakisema kwamba kwa first degree ni better ukasoma locally,so pia nimezingatia hilo.
Ninaomba kupata mawazo yenu wadau wa Sheria katika kufanikisha hii azma yangu.
Kumbukumbu: me ni mwajiriwa na mfanyabiashara kwa hiyo sitaweza Full Time classes.