Kottler Masoko
Senior Member
- May 28, 2010
- 193
- 28
Kuna dogo wangu kachaguliwa LLB Open University anataka kubadilisha kwenda LLB ya jioni pale Turdaco.
1. Je inawezekana kubadili chuo after hizo Admission za TCU?
2. Vipi kuhusu sifa za ki-academic baina ya shule hizo mbili?
Nawakilisha kwenu wadau.
1. Je inawezekana kubadili chuo after hizo Admission za TCU?
2. Vipi kuhusu sifa za ki-academic baina ya shule hizo mbili?
Nawakilisha kwenu wadau.