Kottler Masoko Senior Member Joined May 28, 2010 Posts 193 Reaction score 28 Aug 22, 2012 #1 Kuna dogo wangu kachaguliwa LLB Open University anataka kubadilisha kwenda LLB ya jioni pale Turdaco. 1. Je inawezekana kubadili chuo after hizo Admission za TCU? 2. Vipi kuhusu sifa za ki-academic baina ya shule hizo mbili? Nawakilisha kwenu wadau.
Kuna dogo wangu kachaguliwa LLB Open University anataka kubadilisha kwenda LLB ya jioni pale Turdaco. 1. Je inawezekana kubadili chuo after hizo Admission za TCU? 2. Vipi kuhusu sifa za ki-academic baina ya shule hizo mbili? Nawakilisha kwenu wadau.
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,357 Reaction score 6,424 Aug 22, 2012 #2 Kottler Masoko said: Kuna dogo wangu kachaguliwa LLB Open University anataka kubadilisha kwenda LLB ya jioni pale Turdaco. 1. Je inawezekana kubadili chuo after hizo Admission za TCU? 2. Vipi kuhusu sifa za ki-academic baina ya shule hizo mbili? Nawakilisha kwenu wadau. Click to expand... Competency ya mtu haitokani na chuo, ni juhudu yako tu. Particularly kwa arts subjects ambazo you do not need a laboratory. Ni kutafuta reading materials kusoma na kuelewa. Tungekutana ningelikuwa na wewe tukasoma
Kottler Masoko said: Kuna dogo wangu kachaguliwa LLB Open University anataka kubadilisha kwenda LLB ya jioni pale Turdaco. 1. Je inawezekana kubadili chuo after hizo Admission za TCU? 2. Vipi kuhusu sifa za ki-academic baina ya shule hizo mbili? Nawakilisha kwenu wadau. Click to expand... Competency ya mtu haitokani na chuo, ni juhudu yako tu. Particularly kwa arts subjects ambazo you do not need a laboratory. Ni kutafuta reading materials kusoma na kuelewa. Tungekutana ningelikuwa na wewe tukasoma