Loa Loa Filariasis ni ugonjwa gani

Loa Loa Filariasis ni ugonjwa gani

Ganda la ushuru

Senior Member
Joined
Mar 18, 2020
Posts
132
Reaction score
112
Habari za usiku wana JF matumaini yangu muwazima wa afya kuhusu Corona tunaomba Mungu hatutetee.

Duniani kweli kuna mambo katika pitapita yangu nimekutana na picha ya mgongwa wa loa loa filariasis ambaye alipigwa picha ya jicho lake ,inatisha kweli kwani ndani ya jicho kwenye ile sehemu nyeupe pamegeuka transparent na ile liquid ya ndani ya jicho ina contain minyoo iliyojizungusha ,ni mirefu kiasi kama tape worm .

Katika kupitia pitia tena nikaona kwamba inasababishwa na kung'atwa na mdudu anayeitwa deer fly au mango fly.Mwenye ujuzi zaidi ninaomba atusaidie kutufungua ubongo
GLU™
 
Ni ugonjwa unasababishwa na mnyoo (nematode) anayeitwa Loa loa wanaoenda kukaa jichoni, baada ya kung'atwa na aina flan ya flies. Dalili zake sio rahisi kuonekana, upo Sana pande za Afrika ya kati
#creditsZiendeKwa Dkt.Beda my instructor
 
Back
Top Bottom