Loan application form

Loan application form

KICHUMVI

Senior Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
113
Reaction score
14
Hivi itakuaje kama loan application form yako imepotea na haikuwafikia kabisa heslb na ulitumia process zote kuituma.
Tujuzane kabisa maana boom likitoka hapa amtokuwepo tena jf so tutakosa wa kutushauri
 
Itabidi uende makao makuu,coz pale kwenye instruction za loan application walisema inabidi kopi ya bandle nzima ya makaratasi ya application pamoja na risiti ya EMS kudhbitsha kuwa ulituma,mbali na hvyo mjomba itakuwa "BAD WORK WITH VERY SORY"
 
Nakushauri usiongele kuhusu hiyo mambo kabisa arif..maana unaeza ukawa ndo unajiwekea mkosi...omba mungu akusaidie hiyo mambo isitokee
 
Back
Top Bottom