Hivi itakuaje kama loan application form yako imepotea na haikuwafikia kabisa heslb na ulitumia process zote kuituma.
Tujuzane kabisa maana boom likitoka hapa amtokuwepo tena jf so tutakosa wa kutushauri
Itabidi uende makao makuu,coz pale kwenye instruction za loan application walisema inabidi kopi ya bandle nzima ya makaratasi ya application pamoja na risiti ya EMS kudhbitsha kuwa ulituma,mbali na hvyo mjomba itakuwa "BAD WORK WITH VERY SORY"