Loan bank na jinsi ambavyo utapata faida kupitia mkopo wa bank

Labda ungeingia Google search engine. Ukajalibu kuangalia taratibu za kupata mkopo mkubwa, hata mikopo midogo pia. Inaonekana ujafatilia taratibu za mikopo, uwezi kupata mkopo wa kuanzia milioni 3 na kuendelea kama una biashara ambayo ina usajili wa muda wa miezi 6 na kuendelea uwe Tin Number, leseni ya biashara, mkataba wa sehemu ya biashara [Firm]. Na biashara yako Lazima iwe na vitabu vinavyofanya Mauzo yenye faida. Au kama una EFD Mashine iwe imekaguliwa hesabu zake
Mikopo ya kuanzia laki moja mpaka milioni 2.99. Ndio unapata bila kuitaji vitu ivyo lakini uwe na account ambayo pesa inaingia na kutoka, wanaogopa kuwapa pesa watu wasio na lengo la kufanya biashara, kwa sababu utashindwa kurejesha.
Lakini kama ni muajiriwa, kampuni iliyokuajiri itakupa dhamana ya mkopo.
 
kiongozi una kopa afu hujui hta cha kufanya,
nunua nyumba ukaweke bond ukope tena benki nyingine,
Ingekuwa rahisi ivyo,kila mtu angekuwa Tajiri sana katika hii Tanzania. Nendeni kwa afisa mikopo awape elimu ya mikopo. Mwisho wake hata ambulia kupata mkopo wa Chini ya milioni 3. Kama una dhamana ya kazi kupata zaidi ya milioni 10 ni shughuli sana, na ndio maana wafanyakazi wengi wanaishia kupata mikopo na kununua magari tuu, kwa sababu unapata pesa na huna muda wa kusimamia ujenzi wa nyumba
 
Kwanza tarajia kuwa mwisho wa deni itabidi ulipe hizo mil 30 pamoja na riba inayokaribia asilimia 31.
Hivyo basi chukuwa hicho kiasi cha mkopo uongeze hiyo riba ya benki halafu gawanya kwenye kipindi mlichokubaliana ili uweze kufahamu ni kiasi gani unapaswa kulipa kila mwezi/miezi 3 au 6. Vinginevyo utapoteza dhamana yako bure hala uanze kulalamika.
 
Mikopo midogo hailipiki mara nyingi, pia elewa mkopo ni utumwa na zile interest zipo juu mno sababu hpo kwenye 30m ujue 5m ni interest bdo processing fee insurance na hidden costs.
Sasa mkuu jiandae ujue 35m utaitoa wpi in 12 months.
 
wewe ni mwongo, hapo unazuga kudanganya mabinti za watu. mkopaji gani asiejua hata nini ya mzunguko wa pesa kwenye account yake? ur a big liar? a comedian?
 
Bila shaka unakula million na nusu kwa mwezi

Hongera mkuu we utakuwa MD
 
DUUUH POLE SAANA YAANI UNAKOPA BILA KUJUA UTALIPAJE??? AISEE POLE SAANA BORA UACHE KUKOPA. SIKIA KTK TAALUMA YA KISASAS YA SAYANSI YA FEDHA, MKOPO HUTAKIWI KULIPA PEKE YAAKO KAKA. UKILIPA PEKE YAAKO AISEE JUA ULIENDA CHAKA, USIKOPE KWENDA KUNUNUA NYUMBA YA KUISHI, WALA GARI LA KUTEMBELEA. KOPA KAWEKEZE KWENYE KITU KINACHOKUINGIZIA ZAID YA ASILIMIA 50 YA MAREJESHO YA MKOPO WAAKO. MFANO MIMI NILIKOPA MILIONI 40 HAPO NYUMA KAMA MIAKA MITATU SASA NA MIEZ KADHAA IMEPITA. NILIKOPA KWA SABABU MAALUM. NIKAENDA KUMALIZIA VIJUMBA VYANGU VITATU NA FREM NNE ZA MADUKA KWENYE SAITI YAANGU. BAADA YA HAPO KODI NINAZOKUSANYA NDO ZINALIPA HUO MKOPO NA BADO CHENJI NAPATA NAENJOI MAISHA KAMA KAWAIDA. YAANI HAKIKISHA KABLA HUJAKOPA PESA UWE NA KITU CHA KUKUINGIZIA ZAID YA ASILIMIA 50 YA MAREJESHO YA MKOPO. NJE NAHAPO USIKOPE KABISAAA.
 
ni kweli usemayo huyu jamaa hata mimi kanishangaza
 
Nashukuru kwa ushauri mkuu

Wengine wameniponda tu

Mungu akubaliki
 
Bila shaka ulianza na malengo ya mkopo ndio maana unaona bora uchukue, Sasa mbona uko hueleweki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…