M MR TSETSE FLY Member Joined Sep 19, 2012 Posts 11 Reaction score 0 Sep 19, 2012 #1 Hawa jamaa wa loan board ni watabe sana,wamepiga kazi usiku na mchana kuhakikisha watoto wa wakulima hawalali na njaa chuoni.THANK GOD NIMEPATA MKOPO.THANK YOU VERY MUCH MR LOAN BOARD
Hawa jamaa wa loan board ni watabe sana,wamepiga kazi usiku na mchana kuhakikisha watoto wa wakulima hawalali na njaa chuoni.THANK GOD NIMEPATA MKOPO.THANK YOU VERY MUCH MR LOAN BOARD