Loan board kukusanya marejesho kwa njia ya M-pesa.!

Loan board kukusanya marejesho kwa njia ya M-pesa.!

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
619
mkurugenzi wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu na vodacom wamesema sasa mikopo itaanza kurejeshwa kwa njia ya m-pesa
Source
vodacom facebook fans page
 
unamaanisha wanaacha masuala ya benk na kuingia kwenye m-pesa au!!!
 
mkurugenzi wa bodi ya mikopo ya elimu ya juu na vodacom wamesema sasa mikopo itaanza kurejeshwa kwa njia ya m-pesa
Source
vodacom facebook fans page

kivip mkuu?kwa waliomaliza chuo??hebu njoo ufafanue
 
Back
Top Bottom