Loan board yatoa loan breakdown

Status
Not open for further replies.
Asante comrade, mie naambiwa fomu yangu haijafika. Nilituma tarehe 14 june 2011 saa 4 asubuhi posta mpya dsm kwa EMS na namba ninayo. Je nifanyeje na kwa sasa nipo nje ya mkoa wa dsm?

Asante comrade, mie naambiwa fomu yangu haijafika. Nilituma tarehe 14 june 2011 saa 4 asubuhi posta mpya dsm kwa EMS na namba ninayo. Je nifanyeje na kwa sasa nipo nje ya mkoa wa dsm?

duh,hyo kesi yako ngumu sana mkuu,inabid uwaface mwenyewe.

Ninashemeji yangu yeye kachaguliwa TEKU na kapewa mkopo jina lipo kwenye ile list ya kwanza, lakini kwenye hii breakdown jina lake sijaliona, majina waliochaguliwa na kupata mkopo ktk chuo hiki ni 859 lakini waliopo kwenye breakdown ni 556 hivi, swali langu ambao hawajatoka kwenye hii breakdown ndo wamekosa au hii imetolewa kama sample kwamba wote waliopata tangu awali wamepat. Naomba ufafanuzi kwa hili wakuu

Huo ufafanuz una manufaa gani kwa taifa?

<br / DA mjomba huo ni MTAZAMO WAKO unaweza ukawa sahih or not.mimi naona bora hata angekua kwenye lile group lawaliokosa coz ya ufinyu wa budget pengine wangemfikilia lakn hayuko popote inanitia shaka just MTAZAMO WANGU

Inaonesha hawa loan board kweli wazalendo vya kutosha, maana wameshindwa kujenga ceiling yao iya mlangoni iliyodondoka na wakatoa mamilioni ya shilingi kwa wanafunzi!!! Jengeni hapo mbele, hii aibu tupu (najua wafanyakazi wa HESLB hupitapita hapa).

Waliokosa mkopo ni km 4000 na si 1995, wametoa takwimu za uongo.

walokosa mkopo ni 14000 bana.

nimehasabu wale wenye sifa zote, ila budget imebana, cjahesabu wale wenye matatizo katka kujaza form. Na bod group hili lilitaja wapo 1995, lakn kataka list ya waliokosa kutokana budget Exhausted n 4000

du sijui 2tafikiliwa?naomba wa2fikilie vema hawa heslb

nimehasabu wale wenye sifa zote, ila budget imebana, cjahesabu wale wenye matatizo katka kujaza form. Na bod group hili lilitaja wapo 1995, lakn kataka list ya waliokosa kutokana budget Exhausted n 4000

Nilichokisoma hadi sasa kuhusu walokosa mkopo ni hivi, maana kila wakati Idadi inabidilika ni Wanafunzi 13,505 kwa mchanganuo ufuatao,
BUDGET EXHAUSTED=4,678
NAMES DIFFERENCES=1,572
NO SIGNED CONTRACT SUBMITTED=2,853
NOT ELIGIBLE=1,709
NOT NEEDY=1,338
PREVIOUS LOANEES=1,355
Inaleta Jumla ya Wanafunzi walokosa 13,505 tu labda wakiongezeka hapo baadae.

na hao 2nd round applicants?

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…