Loan board

Thanks,God sasa wengine tunaanza kusahau haya mambo ya loan.
 
...

Kila kichwa kina ubongo ila fikira zimetofautiana mh...

Usiwe mpu.mbavu kwa kuwa mfuasi wa mji.nga mh..
 
Sasa leo imefika oil sumu sijui mtatuambia nn na ahadi zenu za kikuda.
 
Hahahahahahahahahahaha. Madogo mnanifurahisha sana, presha kama hizo nlikuwa nazo sana mwaka jana, msijali yatatoka tu, ila mimi nawahakikishia wote waliosoma shule za serikali olevel na alevel wote mnapata bila waiwasi bila kujali priority or non-priority
 

ok! asante tunasubiri
 
Mpaka sasa nimepoteza uzito kilo 5 kwa kufikiria hili swala na mikopo na HESLB kwa ujumla..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…