Loan board

beniko

Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
94
Reaction score
9
jamani naombeni. ivi nivyeti aina gani nivyamsingi kuambatanisha wakati unatuma maombi bodi ya mikopo.
 
jamani naombeni. Ivi nivyeti aina gani nivyamsingi kuambatanisha wakati unatuma maombi bodi ya mikopo.
cheti cha kuzaliwa sio affidavit,cheti cha form 4 halali sio result sleep,cheti cha kifo cha mzazi kama amefariki mmoja au wote,barua ya udhamini\(kama ulikuwa unadhaminiwa elimu yako na barua ya kusitisha udhamini kama ulipewa na shirika labda ulilokuwa unadhaminiwa)
cheti cha daktari cha kuthibitisha ulemavu wa mzazi au mwombaji wa mkopo.ivi viandae vinavyokuhusu.pia pitia website yao wameandika yote... Higher Education Students' Loans Board
 
Maelezi mazuri sana, yatasaidia na wengine wengi, nikiwemo mimi ninayefuatilia kwa ajili ya Dogo. Hata hivyo hapo kwenye "result sleep" nadhani ni "Results Slip", au vipi Mdau!
 
Cheti cha kuzaliwa cha kwako, vyeti vya kuzaliwa wazazi (kama wamefariki unatakiwa kuambatanisha vya vifo). Cheti cha form four/ equivalent, cheti cha form six/result slip kama cheti hakijatoka bado,kama umepita diploma ambatanisha.
 
Maelezi mazuri sana, yatasaidia na wengine wengi, nikiwemo mimi ninayefuatilia kwa ajili ya Dogo. Hata hivyo hapo kwenye "result sleep" nadhani ni "Results Slip", au vipi Mdau!
siunajua uandishi wa haraka huku unafanya mambo mengine...pia vitambulisho vya mzazi/mdhamini/mlezi
 
cheti cha kuzaliwa cha kwako, vyeti vya kuzaliwa wazazi (kama wamefariki unatakiwa kuambatanisha vya vifo). Cheti cha form four/ equivalent, cheti cha form six/result slip kama cheti hakijatoka bado,kama umepita diploma ambatanisha.
mkuu cheti cha form 6 wala result ya form 6 haiitajiki,maana bodi hawapangi mikopo kwa matokeo ya form 6 hata kidogo.wanachotaka ni namba yako ya form 4 tu na matokeo ya form 4.na wanachotaka pia ni je umepangiwa kujiunga na chuo.?
 
Mmmh cdhani. Utaratibu huu umeanza lini? Labda kama umeanza hivi karibuni lkn mimi nimeomba mkopo 2010 kilikuwa kinahtajika. Nakumbuka vema kabisa mikikimikiki niliyoipata ktk kuipata hyo result slip ya form six. Ninachojua tcu ndo hawanaga habari na form six ile HESLB cheti cha 4m 6 kinahusika sana tu. Labda uniambie wamebadili utaratibu baada ya 2010
 
Umechanganya madesa Mkuu HESLB huwa hawana shida na cheti cha form 6 wanataka cha form 4.
 
mkuu cheti cha form 6 wala result ya form 6 haiitajiki,maana bodi hawapangi mikopo kwa matokeo ya form 6 hata kidogo.wanachotaka ni namba yako ya form 4 tu na matokeo ya form 4.na wanachotaka pia ni je umepangiwa kujiunga na chuo.?

Itakuaje kwa form six wa mwaka huu ambao ndio watakua wanafanya mtihani wakati hawajapangiwa kujiunga na chuo?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
ONLINE LOAN APPLICATION SYSTEM
FOR THE 2014/2015 ACADEMIC YEAR!
The Higher Education Students'
Loans Board (HESLB) is hereby
informing all prospective applicants
that the Application System shall be
opened on
Wednesday 23rd April, 2014
.
 
Itakuaje kwa form six wa mwaka huu ambao ndio watakua wanafanya mtihani wakati hawajapangiwa kujiunga na chuo?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
aha utaratibu upo hivi.bodi ya mikopo kazi yake ni kupanga nani anasifa ya kupata mkopo na kiasi gani.wakishafanya hivyo basi majina ya watu waliopangiwa vyuo yanatumwa bodi ya mikopo ii kucomferm,na ndio wanaachia majina
ndio maana mwakajana bodi ilitangaza watu wafanye maombi hata kama matokeo hayajatoka.
27th May 2013

Email

Print

Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa HESLB, Cosmas Mwaisobwa

Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imesema wanafunzi wanaotarajia kujiunga na elimu ya vyuo vikuu mwaka huu wanatakiwa kutuma maombi yao ya kupata mikopo kabla ya Juni 30, mwaka huu bila kusubiri matokeo ya kidato cha sita.

Bodi hiyo imesisitiza kuwa hakutakuwa na muda wa nyongeza baada ya kipindi hicho huku ikiwashauri kutuma maombi yao kwa kutumia alama za matokeo ya mtihani wa kidato cha nne.

Hayo yalisemwa na Mkurugenzi wa Habari na Mawasiliano wa HESLB, Cosmas Mwaisobwa, wakati akizungumza na NIPASHE kutoa ufafanuzi juu ya mwisho wa kutuma maombi ya mikopo kwa wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na elimu ya vyuo vikuu nchini kwa ajili ya mwaka ujao wa masomo.

Cheti cha kuzaliwa cha kwako, vyeti vya kuzaliwa wazazi (kama wamefariki unatakiwa kuambatanisha vya vifo). Cheti cha form four/ equivalent, cheti cha form six/result slip kama cheti hakijatoka bado,kama umepita diploma ambatanisha.

Sawasawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…