Prince Akeem JF-Expert Member Joined May 26, 2013 Posts 884 Reaction score 376 May 19, 2014 #1 Za saa hivi wadau. Kuna dogo wangu kamaliza form six mwaka huu na amepangiwa kwenda JKT kambini mwezi wa sita mwanzoni. Ni kweli wanatakiwa ku apply loan Board kabla ya kwenda JKT kambini.??
Za saa hivi wadau. Kuna dogo wangu kamaliza form six mwaka huu na amepangiwa kwenda JKT kambini mwezi wa sita mwanzoni. Ni kweli wanatakiwa ku apply loan Board kabla ya kwenda JKT kambini.??
g click JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 2,427 Reaction score 505 May 19, 2014 #2 tembelea website ya bodi kwa ufafanuzi Higher Education Students' Loans Board