Watu hawajui kutumia mikopo, hivyo imewaumiza mpaka wanaona kama kukopa ni dhambi na tendo la aibu.Mkopo sio jambo la siri
Kudaiwa sio jambo la aibu wala sio jambo la ajabu kuchukua mkopo.
Hata mabilionea wote unaowaona wanadaiwa.
Masterpiece..Privacy inahusu taarifa zako na sio privacy ya umbo lako!!!
Ni kutokana na hilo ndo maana hata kwenye banking halls tunaingia bila kuambiwa tufumbe macho ili tusiwaone wateja wengine waliokuja kufuata huduma za kibenki!
Hata kwenye sekta ya afya, Daktari au hospital crews kwa ujumla wake hawaruhusiwi kutaja hata ugonjwa unaoumwa lakini haimaanishi unapoenda kuonana na daktari, watu wengine wote wataambiwa wafumbe macho ili hatimae uingie chumba cha daktari!!
Hata unapoenda kupima ngoma, watu watajua tu kwamba umeenda kupima ngoma lakini haimaanishi hospitali/Kituo husika hawana privacy!
Hakuna ufundi wa kutumia mkopo, unaweza kuchukua na ukaisha bila habari.Watu hawajui kutumia mikopo, hivyo imewaumiza mpaka wanaona kama kukopa ni dhambi na tendo la aibu.
Hujui kitu.Hakuna ufundi wa kutumia mkopo, unaweza kuchukua na ukaisha bila habari.
Kwani mkopo ni Siri?ni huduma tu Kama ya kuweka au kutuma pesa.kukopa ni ushujaaUnakuta watu wamepanga foleni kusubiri kuingia hizo wanazoziita ofisi za mikopo..so kila atakayeingia bank atakusoma kwamba unaenda kutafuta mkopo...wengine wameweka desk hapo hapo karibu na tellers, kila unachoongea wateja wengine wanasikia.. Sasa why mnashindwa watunzia privacy ya wateja kiasi Hiki... Mnazingua Sana nyie mabank
Haujamuelewa mleta mada. Yeye anazungumzia swala la kuwa na privacy baina ya watoa huduma na wateja wao.Mkopo sio jambo la siri
Kudaiwa sio jambo la aibu wala sio jambo la ajabu kuchukua mkopo.
Hata mabilionea wote unaowaona wanadaiwa.
Yah..watu wanajibu tu bila kuelewa concern yanguHaujamuelewa mleta mada. Yeye anazungumzia swala la kuwa na privacy baina ya watoa huduma na wateja wao.
Kwann aanike mambo yake hadharani na mtu mwingine awe ana sikiliza?! Na kuna majitu huwa yanatega sikio kabisa kusikiliza unachozungumza.
Sio tu bank, bali hata hospital, na sehemu kadha wa kadha