ivi mkuu umekosa maswali ya kuuliza?? au ndo wenge la boom!!! umechaguliwa SAUT,kwani huko hamna benki hamna njia za kupata loan yako!!! au unataka useme SAUT sio chuo na hakitambuliki...kuwa na ushirikiano mzuri na ubongo wako!!!! KARIBU SANA JF NA SIKU NYINGINE UJIFUNZE SIO KUANDIKA TU!!!