Kejeli na roho ya husda haitakusaidia katika maisha jifunze kuelewa mambo na sio kudakia kwa lengo gani na unafaidika na nini?Naishi nayo hivo hivo kwa tabu 😀
Kila laheri kaka/dada Mungu akufanyie wepesi
Weka sifa zitakazokufanya ukopesheke...Ni kweli.
Kwahiyo kigezo hiko anapata bila wasi
Baba yeyoo umenifanya nicheke me nitakufwa na shida zanguNa wewe unataka kujilipua Mama Yeyoo?
Baba yeyoo umenifanya nicheke me nitakufwa na shida zangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapana aisee baba yeyooNikajua umekidhi vigezo.....sijui uwe na mnyama gani? Mh nikaona siwezi kupita kimyakimya nimuonye Mama Yeyoo. Afadhali kama umeshtuka mapema rafiki
Tanguliza vigezo vya kukopesheka usitangulize huruma, ingekua hivi tungekua tunaingia mabenki kwa machozi na kugalagala chini!!!!Kejeli na roho ya husda haitakusaidia katika maisha jifunze kuelewa mambo na sio kudakia kwa lengo gani na unafaidika na nini?
Nashukuru na pia na wewe Mungu akufanyie wepesi katika kuangalia mambo katika mtazamo chanya na sio mtazamo hasi kama ulionao ambao unautumia kama fimbo. Shukran.
Jf ni zaidi ya saccossNani anialike kwenye kikund chao cha Sacco's???
Nataka kutoa semina
Ouhky.Jf ni zaidi ya saccoss