victor mbuya
Member
- Aug 5, 2016
- 78
- 32
nimeulizwa na mtu mfano una shamba ekari 35 lenye title deed unaeza pata loan kias gani incase ukalieka dhamana,,, nmeexpress swali ka lilivo mi cna knowledge yoyote kuhusu issue za loan,,, usitukane wala kukandia if huna cha kuchangia bora uache ,, shukran wakuu