Loan!!!

victor mbuya

Member
Joined
Aug 5, 2016
Posts
78
Reaction score
32
nimeulizwa na mtu mfano una shamba ekari 35 lenye title deed unaeza pata loan kias gani incase ukalieka dhamana,,, nmeexpress swali ka lilivo mi cna knowledge yoyote kuhusu issue za loan,,, usitukane wala kukandia if huna cha kuchangia bora uache ,, shukran wakuu
 
Hilo shamba lina zao lolote?
 
Mmmh...kwa ufahamu wangu,kwa mfano crdb bank wanaipokea hiyo dhamana endapo imepandwa miti kama mitiki.. hapo incase ikitokea shida wanauza shamba na miti pesa inapatikana ya uhakika kulingana na kiasi alichokopa ofcos....
Otherwise,inakuwa ngumu kumkadiria atapata tshs ngapi...kuna vitu vingi vinatizamwa ili mtu kuweza kupewa mkopo. Kwanini jamaa asitembelee mabenki kufanya research atapata details as kutosha halafu atajua atakopa wapi....[HASHTAG]#ushauri[/HASHTAG] wangu#
 

sawa heart!! kweli naona kuna complications kibao kwenye swala zima la kupata loan benki,, nmewasilisha your
opinions teari,, thank you[emoji1474]
 
kupata mkopo bank hawaangalii tuu hyo dhamana kuna vitu vingine wanavyo angalia kama vyanzo vya mapato kwajili ya kulipa mkopo aina ya biashara au lengo la mkopo pamoja na monthly cash flow ndo waweze kujua watakukopesha mkopo kiasi gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…