T TEBOGO Member Joined Aug 5, 2012 Posts 7 Reaction score 0 Jan 28, 2013 #1 Wadau naomba niulize kuhusu wale waliokosa mkopo then wakaappeal mbona kimya?je kuna tetesi zozote kuhusiana na kupata mkopo kwa watu hao?
Wadau naomba niulize kuhusu wale waliokosa mkopo then wakaappeal mbona kimya?je kuna tetesi zozote kuhusiana na kupata mkopo kwa watu hao?
Black ma colour JF-Expert Member Joined Nov 28, 2012 Posts 733 Reaction score 663 Jan 29, 2013 #2 TEBOGO said: Wadau naomba niulize kuhusu wale waliokosa mkopo then wakaappeal mbona kimya?je kuna tetesi zozote kuhusiana na kupata mkopo kwa watu hao? Click to expand... bodi mpaka sasa bado hawajakaa but only wale walofanyiwa transfer ndo adjustment ishakamilika so soon watapewa loan yao
TEBOGO said: Wadau naomba niulize kuhusu wale waliokosa mkopo then wakaappeal mbona kimya?je kuna tetesi zozote kuhusiana na kupata mkopo kwa watu hao? Click to expand... bodi mpaka sasa bado hawajakaa but only wale walofanyiwa transfer ndo adjustment ishakamilika so soon watapewa loan yao