Lobby Group Shuns CORD's Court Petition

Africa nchi zetu hizi bado sana,haki ya kikatiba inaruhusu Raila kukata rufaa,ushahidi upo wa wa ukiukwaji mkubwa wa mwenendo wa uchaguzi,kama si kujipendekeza kibwegebwege nini hii hapa wanaleta hawa wanaoitwa jukwaa la katiba? Waliovuruga uchaguzi wana ajenda zao za siri ya kufikia kufanya vitendo hivyo visivyofaa,hawatakiwi kupewa fursa basi ya kuongoza nchi,bila ridhaa halali ya wananchi wote,na kwa demokrasia YA KENYA NI HATARI ZAIDI KWA RAILA KUTOKATA RUFAA,acheni sheria ichukue mkondo wake.
 
waangalizi wa uchaguzi,wa ndani na nje wameridhika kwa kiwango cha juu na zoezi la kupiga kura,kuhesabu kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi,tatizo lenu mliingia ktk uchaguzi bila kuwaza kuna kushinda na kushindwa!
 
waangalizi wa uchaguzi,wa ndani na nje wameridhika kwa kiwango cha juu na zoezi la kupiga kura,kuhesabu kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi,tatizo lenu mliingia ktk uchaguzi bila kuwaza kuna kushinda na kushindwa!


Naomba nikusahihishe mkuu, waliingia wakiwaza kushinda tu, hwakujua kuna upande wa pili wa kushindwa!! Na wenye matatizo makubwa ni mashabiki tu naamini Raila anajua hilo isipokuwa anatafuta bnjia ya kiungwana ya kutokea ndio maana anaenda mahakamani ilhali anajua uwezekano wa kushinda ni finyu
 
wengi wenyu hawajui kuwa katiba mya ya kenya iliandikwa ikizingatia ugatuzi na kuepusha nchi nzima kutoka kuvutwa na kupasuliwa katikati kwa forces za personality cults kama za raila. ni wazi kuwa kifo cha raila kisiasa ni mithili ya kifo cha ngamia. Hivi sasa nawaonea wakamba na wakaazi wa nyanza huruma maana watawapotoshwa na wanasiasa wa personality cults. ndio mudavadi akaona hii mapema na kukubali kushirikiana na serikali teule tafadhali kwa niaba ya wananchi wake waweze zingatiwa katika miradi muhimu za maendeleo

tulivyoshuhudia kwenye serikali ya mseto, wananchi walipoteza nafasi nyingi za kupata maendeleo kwa viongozi kukosa kushirikiana, na taswira hii yaonekana itaelekea kule ukambani na nyanza.

unaweza ona matatizo tunayo afrika, hata tujaribu vipi hatuwezi fikia mzungu katika standards za demokrasia, kawa sababu ya akili yetu ya kiafrika. Raila anawadanganyaje wakazi wa kibera na ulimwengu kuwa hiyo anayofanya ndio demokrasia na yeye ndio champion wa demokrasia.

tayari walikuwa wamepanga hata wangeshindwa wasingekubali matokeo na kule kotini itabidi wapeleke ushaidi tosha na sio dukuduku kotini. mahakama haiamui dukuduku
 
waangalizi wa uchaguzi,wa ndani na nje wameridhika kwa kiwango cha juu na zoezi la kupiga kura,kuhesabu kura na utangazaji wa matokeo ya uchaguzi,tatizo lenu mliingia ktk uchaguzi bila kuwaza kuna kushinda na kushindwa!

Kelele zote za nini wewe, ni haki yake ya kikatiba sasa unalalamika nini?? mahakama inafanya maamuzi ndani ya siku 14 wasiwasi wako ninini?
 
Kelele zote za nini wewe, ni haki yake ya kikatiba sasa unalalamika nini?? mahakama inafanya maamuzi ndani ya siku 14 wasiwasi wako ninini?

nadhani kunatakiwa kuwe na ammendment kwa constitution. 14 days is a long period kama evidence wanao ni nini inawachukua muda, it should even b narrowed to 6 days. in a democracy as young as kenya all we need is to avoid creating a negative precedence for future losers to follow. the electoral process and the kenyan justice system should remain relevant and should not be a platform where negatively polarized and ethnicized groups use to advance their agendas
 
Gathering evidence on purported electoral malpractise will take longer than what you are even quoting...the time frame is ok considering all form 34 lumpsum must be compiled into form 36 for all constituencies but statistically to be a representative of the whole countryto force a run off.
That takes a while to analyse.
Anyway, why are jubillee foot soldiers so active in discreditting the fella, let him seek his legally awarded constitutional right Kabaridi....never heard of that lobby group btw.
We have nothing to lose, infact am eager to see what they CORD will table, particularly the show Amos Wako might pull, Oraro, Mutula and the few well spoken characters in law.
Grab your pop corns n pray they file the petition, it will be entertaining.
Just curious, since this case is against IEBC, will jubillee lawyers have to side with IEBC lawyers....are we goin to see a situation where the contestant and referee are on the same side?lol. What will be the court arrangement since jubillee seek to be furnished with same documents CORD is seeking. This to me is entertainment...i mean pure raw entertainment.
 
Last edited by a moderator:
livefire tuko poa? good you r showing signs of acceptance
Kabaridi....never heard of that lobby group btw.
there are people that do not like this endless madness and cord troops are in for a rude shock. they are refusing to read the what the kenyans said on march 4. And why should jubilee lawyers trouble themselves or have sleepless nights because cord troops are trying to construct 'sensible' evidence inorder to file their petition.

infact jubille lawyers should go to some place hawaii of wherever because they have won and will not join with IEBCs who's job is just to provide the forms 34.

We have nothing to lose, infact am eager to see what they CORD will table, particularly the show Amos Wako might pull, Oraro, Mutula and the few well spoken characters in law.

is it possible for you to 'flirt' with your enemies hoping to achieve a collective agenda??????
 
Are u psycho~analysing me bwana, am good....as for forfeiture, am not doing so bila a good dance with the good learned judges bur the spirit is willing fot whatever may that shall decend on the material.
If the above lawyers are doing a flattery in court on behalf of CORD to achieve a collective bargain then i must admit this fellas are rather impressive. Is there any other term for intelligent coericion? (Jubillee will never give in).
If they lose i want them to stick in opposition and be furnished with Mwalimu Mati's number to keep the govt in check...
truth be told they (MPS) are all lazy at numbers but so good at screaming alarms.....a very good precedent for this democracy and holding the thiefs to account.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…