Mario Kejob
JF-Expert Member
- Apr 14, 2020
- 441
- 536
Wakati umefika sasa tuwathamini wachezaji wetu wa ndani kama Erasto Nyoni ambaye ni mchezaji wa viwango ambaye amekutana na changamoto kubwa ya kupata nafasi katika club yetu ya Simba ambayo imejaa vipaji laukama taifa linamtegemea sana kwenye safu ya ulinzi. Mara nyingi watu humuita kiraka kutokana na uwezo wake wa kucheza nafasi mbali mbali.
Kumekuwa na tetesi kwamba Simba wanatafuta withholding midfielder( beki mkabaji) kum-replace Fraga ambaye amepata majeruhi ya muda mrefu na kwamba upo uwezekano wa Simba kuuvunja mkataba wake. Kwa maoni yangu kutokana na uwezo alionao Erasto Nyoni na ni mzuri kuliko Fraga (my opinion), Simba wangeanza kumtumia Nyoni kama withholding midfielder ambaye ana height, skills na physique nzuri kuliko Fraga ambaye ataimarisha ulinzi na kupeleka mashambulizi mbele.
Mechi ya juzi na Costal Union alidhihirisha hilo na ukuta ulikuwa imara sana. Hivyo akisimama Mkude na Nyoni kama withholding midfielders kamwe hatuto m-miss Fraga. Tunamtakia matibabu mema anyway, huko kwao Brazil.