Local government elections and cowards

jasper13

New Member
Joined
May 11, 2018
Posts
3
Reaction score
1
Tunakwenda kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa wananchi wakiwa wameogopeshwa , wametishwa hawana raha.
Binafsi nimeshuhudia viongozi wa kuteuliwa na Mh Raisi hasa Ma DC wakiwa wanawatisha wananchi kwenye mikutano ya hadhara kuwa hata mkiwachagua wapinzani hawatatangazwa.
Hii ni mbaya Sana kwa sababu wananchi wananyimwa Uhuru wa kuchagua viongozi wao wanao wapenda.
Viongozi hawa wa kuteuliwa wasio na kura na Wala hawajui hata kuomba kura na kuahidi ni namna gani watawatumikia wananchi wameamua kuharibu Uhuru wa watu wa kuchagua na kuchaguliwa.
Matokeo ya kauli hizi za vitisho Ni mabaya Sana na wananchi wakinyimwa kuchagua watu wanaowataka wanaweza wakaamua kuchagua na kulinda kura zao halafu waone ni nani huyo anayekataa kumchagua mtu was wakiyemchagua wenyewe
 
Omba mods wapeleke uzi kwenye jukwaa husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…