kanyagio
JF-Expert Member
- Dec 10, 2009
- 1,021
- 366
ndugu wataaalamu,
kwanza shukrani kwa waliotoa maoni kuhusu uanzishaji wa photo studio. kwa sasa nipo katika mchakato wa kuanzisha hapa dar es salaam.
naomba maoni na mapendekezo gani wa maeneo ambapo unaweza kuanzisha photo studio kwa hapa Dar --- lengo ni kupata wateja wanaokuja kupiga passport size na picha nyingine za kawaida (portrait) aidha itakuwa ni kutafuta wateja wanaoendesha events e.g. wedding, celebration parties etc.
Kwa uzoefu wenu maeneo gani hapa Dar es salaam ni mazuri kuanzisha hiyo studio na kwa kuzingatia vigezo gani...
Je anayefahamu za vyumba anaweza kuniambia.. plan ni kuwa na chumba chenye 20-30 Sq. meters na nitakifanyia partition ili kupata sehemu mbili. any contact za hiyo sehemu?
nitashukuru.