location ya kuanzisha medium photo studio

kanyagio

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2009
Posts
1,021
Reaction score
366
ndugu wataaalamu,
kwanza shukrani kwa waliotoa maoni kuhusu uanzishaji wa photo studio. kwa sasa nipo katika mchakato wa kuanzisha hapa dar es salaam.

naomba maoni na mapendekezo gani wa maeneo ambapo unaweza kuanzisha photo studio kwa hapa Dar --- lengo ni kupata wateja wanaokuja kupiga passport size na picha nyingine za kawaida (portrait) aidha itakuwa ni kutafuta wateja wanaoendesha events e.g. wedding, celebration parties etc.

Kwa uzoefu wenu maeneo gani hapa Dar es salaam ni mazuri kuanzisha hiyo studio na kwa kuzingatia vigezo gani...

Je anayefahamu za vyumba anaweza kuniambia.. plan ni kuwa na chumba chenye 20-30 Sq. meters na nitakifanyia partition ili kupata sehemu mbili. any contact za hiyo sehemu?
nitashukuru.
 
utakuwa na printer ama wewe ndo unaepiga ukaprint mahala pengine?
kwa kuanzia unaweza tengeneza business cards pia ukaacha kwenye kumbi mbalimbali. kama utakuwa na printer ungepata sehemu ya karibu na kumbi kadhaa na hakikisha unafanya kazi 24 hrs.
 
Like! My ex kidumu ana akili ya marketing, nipe strategies basi.
 
beneficiary wa haya maakili ni Paw exclusively! utakomaje? haukunithamini nilipokupa lifti sasa wajileta eeh? unalooo
afu sijakuona kule kwa da sophy, anajisifia kakunyakua kwa mkeo.
Like! My ex kidumu ana akili ya marketing, nipe strategies basi.
 
utakuwa na printer ama wewe ndo unaepiga ukaprint mahala pengine?
kwa kuanzia unaweza tengeneza business cards pia ukaacha kwenye kumbi mbalimbali. kama utakuwa na printer ungepata sehemu ya karibu na kumbi kadhaa na hakikisha unafanya kazi 24 hrs.
sitakuwa na uwezo wa kuwa na photo printer minilab maana ni very expensive more than 30m Tsh. so nitakachofanya ni kupiga na kuprint pengine isipokuwa wanaokuja kupiga moja moja ndo nitaweka printer ya kawaida.
 
thanks kwa walionipa mawazo, tunakaribia kufungua studio maeneo ya makumbusho.. naendelea kukaribisha mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…