Lockdown yawa mateso kwa wanawake nchini ghana

😂😂
Huku bongo ndo wasiombee kabisa maana Alkasusu itapanda Bei.
 
Sasa fikiria umo ndani wiki ya 1,2,3 na kuendelea; utawaza nini zaidi ya kula na kupiga shows!!!!!

Wavumilie tu, hakuna namna. Maana walio single nao watakuwa na ugwadu balaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…