Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 32,246
- 31,176
Malipo ya nini wakati wameambiwa wakae nyumbani?Hao wanadai malipo yao
Wanaonekana Ni vibaruaMalipo ya nini wakati wameambiwa wakae nyumbani?
Tanzania imeweza kulipa walimu mishahara kwa miezi mitatu bila kufanya kazi na hatukuchukua corona loan
Ulitaka wasidai au?Hao wanadai malipo yao
Umekula maharage ya wapi we potiUlitaka wasidai au?
Hapo ndio unajiona umejibu swali?Umekula maharage ya wapi we poti
Kwani vipi mzeeHapo ndio unajiona umejibu swali?
Kula maharagwe na yanayotokea Kenya wapi na wapi?Kwani vipi mzee